Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jeshi nchini Misri lampindua Mohamed Morsi huku Rais wa Marekani Barack Obama akimalizia ziara yake Barani Afrika nchini Tanzania

Sauti 21:05
Wafuasi wa Mohamed Morsi nchini Misri wakifanya maandamano kupinga kuondolewa kwa Kiongozi wao na Jeshi
Wafuasi wa Mohamed Morsi nchini Misri wakifanya maandamano kupinga kuondolewa kwa Kiongozi wao na Jeshi

Jeshi nchini Misri limefanya mapinduzi na kumuondosha madarakani Mohamed Morsi aliyeongoza Taifa hilo kwa kipindi cha mwaka mmoja pekee baada ya kuchaguliwa kwenye uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia lakini akaingia lawamani baada ya kuwasaidia Wafuasi wa Chama Cha Muslim Brotherhood, Rais wa Marekani Barack Hussein Obama ametamatisha ziara yake Barani Afrika iliyompeleka kwenye mataifa matatu ya Senegal, Afrika Kusini na Tanzania huku akisifu demokrasia iliyotamalaki na Kundi la Waasi la M23 limeingia lawamani likitajwa kupata ufadhili kutoka kwa Wanamgambo wa Al Shabab wa Somalia