Hirizi iliyovunjika
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 19:58
Karibu katika makala ya "Changu Chako Chako Changu" na utapata maelezo juu ya hadithi ya Hirizi Iliyovunjika ambayo ilirushwa hewani na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International mwaka uliopita.