Habari RFI-Ki

Simu

Sauti 09:56

Serikali ya Jamuhuri ya Tanzania, imedhamiria kuanzisha Tozo mpya ya Shilingi 1000, ikiwa ni kodi ya kila Mwezi katika kila laini ya Simu ya Mkononi kwa Watumiaji wa Simu hizo.Wamiliki wa Makampuni ya Simu wamesema kuwa hatua hiyo haitawatendea haki watumiaji wa Simu.