Gurudumu la Uchumi

Maonesho

Sauti 09:10
Wafanyabiashara wakinadi Bidhaa zao katika Maonesho ya kimataifa ya biashara
Wafanyabiashara wakinadi Bidhaa zao katika Maonesho ya kimataifa ya biashara

Makala haya yanaangazia Maonesho ya 37 ya Biashara nchini Tanzania, Maarufu sabasaba, Wafanya biashara mbalimbali walikusanyika katika Viwanja vya Maonesho kuuza bidhaa zao, katika Makala haya wanaeleza namna walivyonufaika