Habari RFI-Ki

Msako

Sauti 09:55
Wanafunzi wamekuwa wakikatisha masomo kwa kujiingiza katika Vitendo visivyopaswa
Wanafunzi wamekuwa wakikatisha masomo kwa kujiingiza katika Vitendo visivyopaswa

Makala ya Habari Rafiki inaangazia tukio la kukamatwa kwa Wanafunzi Takriban 1,000 jijini Nairobi nchini Kenya baada ya Polisi kufanya Msako kwenye Vilabu na nyumba za Starehe.Makala haya yanatafakari juu ya chanzo cha Wanafunzi kujiingiza katika vitendo vya ulevi na starehe, tatizo ni nini?