Habari RFI-Ki

Rushwa

Sauti 09:57
Rushwa imekuwa adui wa Maendeleo ya Nchi za Afrika Mashariki
Rushwa imekuwa adui wa Maendeleo ya Nchi za Afrika Mashariki

Makala ya Habari Rafiki inaangazia Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Transparency International juu ya Vitendo vya rushwa kwa nchi za Afrika Mashariki. Je suluhu ya Tatizo hili ni nini?