Wimbi la Siasa

Uchaguzi Zimbabwe

Sauti 10:00
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akitia saini katiba mpya huku waziri mkuu Morgan Tsvangirai akitazama
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe akitia saini katiba mpya huku waziri mkuu Morgan Tsvangirai akitazama Reuters

Makala ya Wimbi la Siasa linaangazia uchaguzi wa Zimbabwe uliopangwa kufanyika tarehe 31 mwezi Julai mwaka huu.ingawa tarehe hiyo imepangwa makundi mbalimbali nchini humo yamesema kuwa muda hautoshi kwa ajili ya maandalizi ya upigaji kura sambamba na Changamoto nyingine.kwa Mengi zaidi ugana na Victor Robert Wille