MAREKANI-FLORIDA

Obama awataka wananchi wa Florida kuwa watulivu kufuatia kuachiwa huru kwa Zimmerman

Wananchi wa Florida wakiandamana kupinga kuachiwa huru kwa George Zimmerman
Wananchi wa Florida wakiandamana kupinga kuachiwa huru kwa George Zimmerman REUTERS

Rais wa Marekani, Barack Obama ametoa wito kwa wananchi wa jimbo la Florida kuwa watulivu kufuatia mahakama kumuachia huru George Zimmerman aliyeshtakiwa kwa makosa ya mauaji ya Trayvon Martin.

Matangazo ya kibiashara

Toka kutolewa kwa uamuzi wa mahakama na kumuachia huru Zimmaerman mji wa Florida umeshuhudia maandamani ya usiku kucha yanayofanywa na raia na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu.

Wananchi na wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wanapinga uamuzi wa kuachiwa kwa Zimmerman ambaye alikuwa ni mlinzi wa jamii wakati tukio likitokea ambapo wanataka kusikilizwa upya kwa kesi hiyo.

Wazee wa baraza waliokuwa wanasikiliza kesi hiyo kwa pamoja walikubaliana kuwa Zimmerman alitekeleza mauaji hayo katika njia ya kujihami kutokana na kuvamiwa na Martin.

Awali polisi hawakufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio hilo kabla ya maandamano makubwa kufanyika kwenye mji wa Florida kutaka uchunguzi mwingine uliopelekea kufunguliwa kwa kesi dhidi ya Zimmerman.

Mawakili wa familia ya Trayvon Martin wameapa kupinga uamuzi wa mahakama kwa kukata rufaa kwenye mahakama kuu.

Rais Obama amesema kilichotolewa na mahakama ni sahihi kwakuwa nchi hiyo inaheshimu utawala wa sheria licha ya kuwa tukio la kuuawa kwa Trayvon Martni limegusa wengi.

Mr Obama said Mr Martin's death was a tragedy for America, but that it was "a nation of laws and a jury has spoken".

The case sparked a fierce debate in the US about racial profiling.

The Department of Justice says it is investigating whether a civil case can now be brought against Mr Zimmerman.

Mr Zimmerman, 29, was cleared of all charges in relation to Trayvon Martin's death at the trial in Sanford, Florida on Saturday.

Prosecutors had argued that Mr Zimmerman shot Trayvon Martin dead on 26 February 2012 because he had racially profiled him as he walked through his neighbourhood wearing a hooded sweatshirt.

Trayvon Martin was African-American. Mr Zimmerman, who was carrying out area patrols after a spate of break-in, identifies himself as Hispanic.

The defence said he had killed Trayvon Martin in self-defence after the teenager punched their client, slammed his head into the pavement and reached for Mr Zimmerman's gun.