Jua Haki Zako

Serikali ya Burundi imekuwa mstari wa mbele kulivalia njuga suala la kutoa elimu kwa watoto wa kike

Sauti 08:50

Bara la Afrika limekuwa likikabiliwa na vikwazo vingi katika kuhakikisha watoto wa kike wanapata elimu bora vitu ambacho vinachangiwa na ukosefu wa shule za kutosha sanjari na walimu. Burundi imekuwa ni miongoni mwa nchi ambazo zimefanikiwa kupiga hatua katika kuhakikisha watoto wa kike wanapata elimu ya kutosha ili wawe sehemu ya mchakato wa ukombozi!!