Uchimbaji wa madini umekuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira na kuathiri afya za Binadamu

Sauti 08:59

Bara la Afrika limebarikiwa na rasimimali nyingi ikiwemo madini kama dhahabu, almasi na hata Tanzanite kitu ambacho kimechangia uwepo wa harakati za uchimbaji wa madini hayo ikiwa ni sehemu ya ukuzaji wa uchumi wa mataifa husika. Uchimbaji huu wa madini kwa sasa umegeuka kuwa ni hatari kwa binadamu kwa sababu unachangia uharibifu wa mazungira na hata kuathiri afya za watu!!