Habari RFI-Ki

Wakimbizi wa Mashariki mwa DR Congo waendelea kusumbuka juu ya hali ya usalama kuendelea kuzorota

Sauti 09:55
Wakimbizi kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakikimbilia nchini Uganda kuomba hifadhi
Wakimbizi kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakikimbilia nchini Uganda kuomba hifadhi

Mapigano makali yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC yamechangia mamia ya wakazi wa eneo hilo kugeuka wakimbizi na kuomba hifadhi katika nchi jirani ya Uganda!! Wakimbizi hao wanaendelea kukabiliwa na hali ngumu ya usalama pamoja na ukosefu wa huduma muhimu kwenye makambi hayo!!