Habari RFI-Ki

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis yupo nchini Brazil kwa ajili ya kongamano la Vijana

Sauti 09:39
Maelfu ya wananchi wa Brazil wakijitokeza kumlaki Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis na anatarajiwa kuhudhuria kongamano la vijana
Maelfu ya wananchi wa Brazil wakijitokeza kumlaki Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis na anatarajiwa kuhudhuria kongamano la vijana REUTERS/Ueslei Marcelino

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis yupo nchini Brazil ambapo miongoni mwa mambo atakayoyafanya kwenye ziara yake ya juma moja ni kuhudhuria kongamano la vijana na tayari ameshatoa wito wake wa kutaka kundi hilo kuwa mstari wa mbele kuliwakilisha vyema Kanisa hilo!!