Siha Njema

Madhara anayoweza kuyapata mama mjamzito baada ya mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Sauti 08:11

Mama mjamzito anaweza kukabiliana na athari kadhaa pale ambapo mimba itakuwa imetunga nje ya mfuko wa uzazi ambazo ni pamoja na mimba aliyobeba kuharibika, mirija ya uzazi kupasuka na kusababisha kuvuja kwa damu nyingi kunakoweza kukachangia kutokea kwa kifo!! Mama Mjamzito anapaswa kupatiwa huduma ya haraka punde tu akapobainika kuwa mimba yake imetunga nje ya mfuko wa uzazi ili kuepukana na madhara hayo!!