Afrika Ya Mashariki

Maendeleo na Ongezeko la Maambukizi ya virusi vya Ukimwi vijijini Tanzania

Sauti 09:25

Makala ya Afrika Ya Mashariki, juma hili tunaangazia sehemu ya kwanza ya makala kuhusu "Maendeleo na Ongezeko la Maambukizi ya virusi vya Ukimwi vijijini Tanzania". Utafiti uliofanywa na RFI ni kuwa maeneo ya vijijini kuna vituo maalumu 'center' ambapo watu hukusanyika kwa shughuli mbalimbali kuanzia asubuhi hadi usiku. Baada ya shughuli za kutwa watu hao huenda kwenye burudani ya kilevi pamoja na ngono zembe kiini cha ongezeko la maambukizi ya VVU. Hii ni sehemu ya kwanza, endelea kusikiliza juma lijalo utakaposikia wanawake na wataalamu wa afya wakizungumzia suala hili la VVU vijijini.