Gurudumu la Uchumi

Tanzania inatarajiwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia ifikapo mwaka 2015

Sauti 09:59

Serikali ya Tanzania inatarajia kuona uchimi wake ukikua kwa kiwango cha asilimia 10 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2015 na hivyo ikajikwamua kutoka kwenye lindi la umaskini na kutekeleza kwa haraka mlengo ya milenia. Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ndiye ameeleza hayo na kusema gesi hiyo asilia ndiyo itakuwa mkombozi kwa uchumi wa Tanzania!!