Wimbi la Siasa

Mgogoro wa kisiasa wanukia nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir kuvunja Baraza la Mawaziri na kumfuta kazi Makamu wa Rais

Sauti 09:36
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ambaye amelivunjilia mbali Baraza la Mawaziri na kumfuta kazi Makamu wa Rais Riek Machar
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ambaye amelivunjilia mbali Baraza la Mawaziri na kumfuta kazi Makamu wa Rais Riek Machar

Mgogoro wa Kisiasa umeanza kunukia nchini Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir kuvunja Baraza la Mawaziri na kisha kumfuta kazi Makamu wa Rais Riek Machar kitu kinachotajwa kuchangiwa na tofauti za kisiasa baina yao!! Hofu imeendelea kutanda kipindi hiki Rais Kiir akisubiriwa kumteua Makamu wa Rais ambaye atashauriana naye kuunda Baraza jipya la Mawaziri!!