Taifa la Uganda lakabiliwa na uhaba wa mipira ya kiume maarufu kama condom
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:52
Wananchi wa Uganda wanashuhudia uhaba wa mipira ya kiume maarufu kama condom kitu ambacho kimezusha hofu miongoni mwao juu ya kufanyika mapenzi salama ambayo yamekuwa yakichangia na matumizi ya mipira hiyo. Condoms zimekuwa zikitajwa kama miongoni mwa vitu ambavyo vimechangia nchi ya Uganda kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi!!