Nyumba ya Sanaa

Wafahamu wasanii tofauti toka mtaa wa Ngong nchini Kenya

Sauti 20:00

Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa na hii leo Edmond Lwangi Tcheli akishirikiana na Paulo Silva wamekuandalia mambo mbalimbali juu ya sanaa ya muziki wa injili na pia sanaa ya utengenezaji utengenezaji wa viatu huko nchini Kenya, kwa mengi zaidi nakukaribisha usikilize makala hii mwanzo mpaka mwisho.