Habari RFI-Ki

Uchaguzi mkuu wa Mali watawaliwa na amani na utulivu

Sauti 10:00
Pierre René-Worms

Jumatatu ya leo katika Habari Rafiki tunaangazia uchaguzi mkuu wa Mali ambapo wananchi wamepiga kura na wanasubiri matokeo kwa amani na utulivu licha ya vitisho vilivyotolewa na kundi la wapiganaji wa MUJAO, sikiliza makala hii upate kufahamu mengi zaidi!!