Jua Haki Zako

Ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye mapigano mashariki mwa DRCongo

Sauti 09:13
Reuters

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia suala la haki za binadamu kwenye eneo la mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambapo waasi wa kundi la M23 wamekuwa wakipambana na vikosi vya serikali ya nchi hiyo FARDC, Karume Asangama atakujuza mambo mengi zaidi yanayotatiza mfumo wa maisha ya kila siku kwa raia wa eneo hilo.