Habari RFI-Ki

Maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa Zimbabwe

Sauti 10:09
REUTERS/Philimon Bulawayo

Katika Habari Rafiki hii leo tunaangazia hali ya mambo nchini Zimbabwe wakati huu ambapo raia wa Taifa hilo wanasubiri kupiga kura zao katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapo kesho, kwa mengi zaidi jiunge naye Ali Bilali.