Habari RFI-Ki

Mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu

Sauti 10:00

Katika makala ya Habari Rafiki hii leo tunaangazia mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu unaendelea nchini Kenya ambapo wanajadili kuhusiana na kikosi maalumu cha Umoja wa Mataifa UN kilichotumwa mashariki ya DRCongo kupambana na makundi ya waasi, kupata mengi zaidi ungana naye Ali Bilali.