Mjadala wa Wiki

Uchaguzi mkuu wa Zimbabwe Julai 31, 2013

Sauti 16:33
REUTERS/Philimon Bulawayo

Wananchi wa Zimbabwe jumatano hii wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wenye mchuano mkali kati ya Waziri Mkuu Morgani Tsvangirai na Rais Robert Mugabe aliyekaa madarakani kwa miaka 33 ya utawala wake. Lizzy Anneth Masinga anaongoza Mjadala huu akiwa na wachambuzi wa siasa za kimataifa Abala Peter Ouma na Abdulkarim Atiki wote wakiwa jijini Dar es salaam Tanzania.