Utafiti Marekani wabaini Wakuu wa nchi wanaoongoza kwa matumizi ya mtandao wa kijamii wa Twitter

Sauti 10:00

Habari rafiki hii leo inaangazia utafiti wa namna viongozi mbali mbali duniani wanavyotumia mtandao wa kijamii wa Twitter utafiti uliofanyika nchini Marekani umebaini maraisi watano waliojijengea umaharufu mkubwa kupitia mtandao huo, huku waziri mkuu wa Uganda Amama Mbabazi akiwa kinara wa viongozi wanaotumia Twitter Duniani...pata uhondo!