Wananchi wa DR Congo wachoshwa na hatua ya MONUSCO kushindwa kuchukua hatua kipindi hiki dalili za kupatikana amani ya kudumu Mashariki ya Kati zikionekana

Sauti 20:15
Wanajeshi wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa waliopo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO ambao wanakosolewa kwa kushindwa kumaliza machafuko huko Goma
Wanajeshi wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa waliopo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO ambao wanakosolewa kwa kushindwa kumaliza machafuko huko Goma

Wananchi wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC hasa Mji wa Goma wamechoshwa na hatua ya kuendelea kwa machufuko yanayofanya na Makundi yanayomiliki silaha huku Wanajeshi wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa MONUSCO wakiwemo bila ya kuchukua hatua madhubuti, Wafuasi wa Chama Cha Muslim Brotherhood wa nchini Misri wameendelea kutia ngumu kuondoka kwenye maeneo waliyoweka kambi wakijipiza watashikilia msimami wao hadi pale Kiongozi wao Mohamed Morsi atakaporudishwa madarakani baada ya Jeshi kumuondoka mwezi mmoja uliopita na Dalili za kupatikana kwa amani ya kudumu katika Eneo la Mashariki ya Kati zaongezeka baada ya Ujumbe wa wapatanishi kutoka Israeli na Mamlaka ya Palestina kukutana kwa mara ya kwanza nchini Marekani!!