Sanaa ya vibonzo

Sauti 19:36

Makala ya Changu Chako, Chako Changu juma hili inaangazia juu ya sanaa ya vibonzo ambayo hutumiwa kufikisha ujumbe kwa njia ya fasihi na sanaa ya uandishi. Karibu ufuatane naye Karume Asangama akiwa na Iluminatha Rwelamila