Adhabu

Sauti 09:18

Makala ya Jua haki zako, inazungumzia maswala ya adhabu kwa mtoto,kwa kuwa adhabu ni sehemu ya maisha kwa lengo la kumuwajibisha mtu awaye yote.Makala haya yanaangazia adhabu katika shule za msingi na Sekondari, je Walimu wanawawajibishaje Wanafunzi?.Ungana na Karume Asangama