Maendeleo

Sauti 09:59
Siku ya Kimataifa ya vijana ni Muhimu kama ilivyotamkwa na Umoja wa Mataifa ili kutathimini changamoto pia fursa walizonazo Vijana kwa Maendeleo yao
Siku ya Kimataifa ya vijana ni Muhimu kama ilivyotamkwa na Umoja wa Mataifa ili kutathimini changamoto pia fursa walizonazo Vijana kwa Maendeleo yao

Makala ya Habari Rafiki inaangazia siku ya vijana duniani, Kauli mbiu ikigusia juu ya Kuhamahama kwa vijana katika kutafuta Maendeleo.Makala haya yamezungumza na Wasikilizaji kuangazi faida na athari za kuhama hama kwa vijana kutoka nchi moja kwenda nyingine.