Mitandao

Mitandao ya kijamii inafaida kubwa iwapo itatumika kwa makusudio chanya
Mitandao ya kijamii inafaida kubwa iwapo itatumika kwa makusudio chanya

Habari Rafiki leo imejikita kuangazia teknolojia ya mitandao ya kijamii, na namna ambavyo imekuwa ikitumika vibaya na Watumiaji .Je, athari zake ni nini? na Mamlaka zinafanya jitihada gani kuondokana na hali hii