Ukimwi

Jitihada za kupambana na Maambukizi ya ukimwi zimekuwa zikifanyika dunia nzima kunusuru maisha ya Watu hasa vijana
Jitihada za kupambana na Maambukizi ya ukimwi zimekuwa zikifanyika dunia nzima kunusuru maisha ya Watu hasa vijana

Makala ya Afrika Mashariki inaangazia sehemu ya nne na ya mwisho ya Makala juu ya CHangamoto za uhusiano kati ya Maendeleo na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya ukimwi vijiji  vya Tanzania na nchi jirani.