Mali

Sauti 15:51
Rais Mteule wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita
Rais Mteule wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita REUTERS/Joe Penney

Mjadala wa Wiki unaangazia matokeo ya Uchaguzi nchini Mali, hasa ushindi wa Rais Mteule, Ibrahim Boubacar Keita halikadhalika mustakabali wa Mali baada ya uchaguzi huo.