Uchaguzi Mali

Sauti 09:59
Ibrahim Boubacar Keïta, le 28 juillet à Bamako.
Ibrahim Boubacar Keïta, le 28 juillet à Bamako. REUTERS/Joe Penney

Makala ya Habari Rafiki inaangazia Namna ambavyo uchaguzi wa Mali umefanyika, kutathimini uchaguzi huo wasikilizaji mbalimbali wametoa maoni yao juu ya namna ambavyo uchaguzi ulifanyika lakini pia baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo