Misri

Sauti 09:52
Waandamanaji wakiwarushia mawe Askari wa usalama nchini Misri
Waandamanaji wakiwarushia mawe Askari wa usalama nchini Misri Reuters/Asmaa Waguih

Makala ya Wimbi la Siasa inaangazia juu ya Ghasia zinazoendelea nchini Misri, zilizosababisha Mamia ya Raia kupoteza maisha baada kushambuliwa na Vikosi vya usalama wakati Waandamanaji walipokuwa wamepiga kambi jijini Cairo.Je, haya yanaashiria nini?