pombe

Sauti 10:01

Makala ya Habari Rafiki inaangazia, matumizi ya Pombe kwa Watoto na vijana wadogo, hasa mila potofu huko nchini Burundi kuwa Pombe ni dawa ya tumbo kwa Watotoje kwa nini Watoto wadogo wanaingizwa kwenye Matumizi ya Pombe na nini kifanyike kuondokana na hali hii?