Hali ya kisiasa nchini Misri
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 12:19
Mjadala wa wiki leo tunajadili kuhusu hali inayoendelea nchini Misri baada ya watu mi atisa kuuawa wakati polisi ikijaribu kuzima maandamano ya wafuasi wa chama cha MusliM bradherhood.