Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrsaia ya Congo waingia matatani huku juhudi za kuivamia kijeshi Syria vikikumbana na vikwazo
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 20:00
Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC na Rwanda umezidi kuzorota kutokana na kila upande kutuhumu mwingine kufanya mashambulizi ya makombora yaliyotua kwenye ardhi zao kipindi hiki Jeshi la FARDC likiendelea kupambana na Wapiganaji wa Kundi la Waasi la M23 na mkakati wa kutaka kuivamia kijeshi nchi ya Syria unaoratibiwa na Mataifa ya Magharibi umekutana na upinzani baada ya Wabunge wa Bunge la Uingereza kupiga kura ya hapana kwa nchi hiyo kutumia jeshi kushambulia Damascus!!