Changu Chako, Chako Changu

Maisha ya muziki jijini Kinshasa nchini DRCongo

Sauti 20:27
radiookapi.net

Makala ya Changu Chako, Chako Changu juma hili inaangazia maisha ya muziki jijini wa Kinshasa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, pamoja na hayo usikose kufuatilia sehemu ya tisa ya mchezo wa kuigiza wa Hirizi Iliyopotea.