SYRIA-MAREKANI-URUSI-UN

UN: Assad ametia saini mkataba wa kupinga matumizi ya silaha za kemikali

Rais wa Syria, Bashar al-Assad ametia saini mkataba wa kimataifa unaopinga matumizi ya silaha za kemikali, hatua inayokuja saa chache baada ya nchi hiyo kukubali kuteketeza silaha zake zote za kemikali, Umoja wa Mataifa umesema.

Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Ban Ki Moon.
Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Ban Ki Moon. REUTERS
Matangazo ya kibiashara

Kwenye taarifa iliyotolewa na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa UN, Ban Ki Moon imesema kuwa amepokea barua toka kwa rais Assad akionesha kukubaliana na kutia saini mkataba unaozua matumizi ya silaha za kemikali uliokubaliwa na mwaka 1992.

Hatua ya Serikali ya Syria inakuja kufuatia ushawishi uliofanywa na nchi ya Urusi ambayo ilitoa mapendekezo kwa nchi hiyo kusalimisha silaha zake za kemikali na kuruhusu zikaguliwe na kisha kuteketezwa.

Hata hivyo nchi ya Marekani na washirika wake wameendelea kuwa kwenye hali ya tahadhari wakitaka kwanza kuona utawala wa Syria unaheshimu kile ambacho ilikitamka na kutia saini.

Wakati haya yakijiri, mawaziri wa mambo ya kigeni wa Marekani na Urusi wameanza mkutano wao mjini Geneva Uswis kujadili namna bora ya kuhakikisha nchi ya Syria inatekeleza kile kilichopendekezwa na Urusi.

"In their letter, the Syrian authorities have expressed their commitment to observe the obligations entailed by the convention even before its entry into force for Syria."

The statement added that the secretary general "hopes that the current talks in Geneva will lead to speedy agreement on a way forward which will be endorsed and assisted by the international community", a reference to discussions between Russia and the United States in the Swiss City.

The statement came after Assad said in an interview with a Russian television channel that he was ready to sign the law. Excerpts of the interview with Rossiya-24 were released to state news agencies but it has yet to be broadcast.

"Syria is placing its chemical weapons under international control because of Russia. The US threats did not influence the decision," Interfax quoted Assad as saying.

Assad denied his regime was behind an August 21 poison gas attack in Damascus, saying that other countries supplied chemical weapons to "terrorists"

Rossiya 24 did not give any further details of the content of the interview, which it said would be broadcast in full "soon".

Conventional fighting continued to rage in Syria as diplomats tried to hammer out a deal on the chemical weapons.