Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kesi dhidi ya Viongozi wa Kenya zaanza mbele ya Mahakama ya ICC kipindi hiki Marekani na Urusi zikiafikiana silaha za kemikali zinazomilikiwa na Syria lazima ziteketezwe

Imechapishwa:

Kesi za kuchochea machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2007 ambazo zinawahusu Rais Uhuru Muigai Kenyatta, Naibu Rais William Samoei Arap Ruto na Mwandishi wa Habari Joshua Arap Sang zimeanza katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC inaendelea na mazungumzo ya kusaka suluhu ya machafuko yanayoshuhudiwa Mashariki mwa Taifa hilo na Kundi la Waasi la M23 huko Kampala na Marekani na Urusi wamekubaliana ni lazima silaha zinazomilikiwa na Serikali ya Syria ziangamizwe ili kudhibiti matumizi yake ambayo yana madhara makubwa kwa wananchi!!

Naibu Rais wa Kenya William Samoei Arap Ruto akiwa na Wakili wake Karim Khan ndani ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC
Naibu Rais wa Kenya William Samoei Arap Ruto akiwa na Wakili wake Karim Khan ndani ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ICC REUTERS/Michael Kooren
Vipindi vingine