Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa na Wasanii toka Mkoani Kagera Tanzania

Sauti 19:45

Katika Nyumba ya Sanaa juma hili tunapiga kambi Wilayani Ngara mkoani Tanzania kutazama sanaa tofauti kama vile uchoraji na muziki zinazofanywa na vijana wa eneo hilo.