Habari RFI-Ki

Afrika Mashariki hususan Kenya yapigwa na taharuki kufuatia uvamizi wa kikundi kinachoaminika kuwa Alshabab

Sauti 09:55
Eneo la Westgate ambalo kundi la watu wenye silaha walivamia na kufanya mauaji na utekaji nyara
Eneo la Westgate ambalo kundi la watu wenye silaha walivamia na kufanya mauaji na utekaji nyara totallycoolpix.com

Inajikita huko Kenya ambapo tukio la kutaharuki limejitokeza jumamosi mjini Nairobi ambapo kikundi cha watu wenye silaha wamevamia jumba la kibiashara la Westgate na kuua watu 62 na 175 wakijeruhiwa.Taarifa zinasema kuwa Jeshi la Kenya bado linaenndeleza operesheni ya kuwakabili wahalifu hao....karibu!