Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Jangwa na ukame kutishia robo ya eneo la dunia

Imechapishwa:

Makala ya mazingira yako juma hili Inaangazia suala la tatizo la ukame na jangwa kuongezeka duniani takwimu zikionesha robo ya dunia ikitishiwa kuelemewa na jangwa na ukame....karibu!

Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho.
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho. © RFI Kiswahili.