Siha Njema

Athari za matumizi ya dawa za kulevya katika mwili wa binadamu

Sauti 10:06
Matumizi ya dawa za kulevya yamekithiri katika kipindi cha hivi karibuni
Matumizi ya dawa za kulevya yamekithiri katika kipindi cha hivi karibuni rfi

Makala ya siha njema kwa mara nyingine inaangazia masuala mbalimbali ya kiafya ambapo juma hili Imejikita katika athari za kiafya zinazotokana na matumizi ya dawa za kulevya....karibu!