Habari RFI-Ki
Baadhi ya wanasiasa wajiondoa katika mazungumzo ya kitaifa nchini DRCongo
Imechapishwa:
Cheza - 09:35
Makala ya Habari Rafiki hii leo inaangazia suala ya baadhi ya wanasiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kuanza kujiondoa katika mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea jijini Kinshasa kwa kigezo cha serikali kutotimiza baadhi ya ahadi ilizotoa ikiwamo suala la marupurupu.