Afrika Ya Mashariki

Oparesheni kimbunga nchini Tanzania

Sauti 09:33
ankomo.blogspot.com

Makala ya Afrika Mashariki juma hili inaangazia oparesheni kimbunga inayolenga kusafisha eneo la Magharibi mwa Tanzania kwa kuwarejesha makwao wahamiaji haramu na kuyafukuza makundi ya majambazi yanayotumia silaha.