Mjadala wa Wiki

Ugaidi katika jengo la Westgate nchini Kenya

Imechapishwa:

Mjadala wa wiki unaangazia tukio la ugaidi lililoikumba nchi ya Kenya ambapo watu waliojihami kwa silaha waliojinadi kuwa wanamgambo wa al-Shabaab wameteka jengo la Westgate na kusababisha madhara makubwa kwa Taifa hilo, kuangazia hili utakuwa naye Nurdin Seleman sambamba na wachambuzi wa maswala ya siasa na usalama Francis Onditi na Emmanuel Kisanganyi.

Des soldats kényans prennent position devant l’entrée du centre commercial Westgate à Nairobi, Kenya, le 24 septembre 2013.
Des soldats kényans prennent position devant l’entrée du centre commercial Westgate à Nairobi, Kenya, le 24 septembre 2013. REUTERS/Noor Khamis
Vipindi vingine