Jua Haki Zako

Mateso na sulubu kwa wafungwa au watuhumiwa ni vitu vinavyokwenda kinyume na Sheria za Haki za Binadamu

Imechapishwa:

Watetezi wa Haki za Binadamu Duniani kote wameendelea kuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya nguvu, mateso na sulubu kwa wafungwa na watuhumiwa ikiwa ni sehemu ya kushinikiza kupata taarifa wanazozihitaji kutoka kwao. Licha ya Mashirika hayo kupinga kwa nguvu zao zote lakini bado kumeendelea kushuhudiwa vitendo hivyo vinavyotajwa kuwa ni hatari kwa afya ya binadamu!!  

RFI Idhaa ya Kiswahili
RFI Idhaa ya Kiswahili RFI
Vipindi vingine