Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mkaa mbadala unavyosaidia kukabiliana na uchafuzi wa mazingira nchini Tanzania

Sauti 09:13

Ukataji wa miti umeendelea kuwa tatizo kubwa kwa dunia kutokana na kuchangiakuleta jangwa sanjari na kuharibu mazingira na miti hiyo imekuwa ikitumika zaidi kwa shughuli za kibinadamu ikiwemo kutengeneza mkaa na ujenzi. Kutokana na dunia kushuhudia athari za matumizi ya mkaaa yanayosababisha ukataji mkubwa wa miti mbinu mpya na matumizi wa mkaa mbadala imegunduliwa katika kudhibiti hali hiyo!!