Habari RFI-Ki

Wananchi walaani hatua ya Serikali kuyafungia kwa muda Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania

Sauti 10:08
Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi ambayo yamefungiwa kwa siku kumi na nne na Serikali ya Tanzania
Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi ambayo yamefungiwa kwa siku kumi na nne na Serikali ya Tanzania

Wadau wengi wa Sekta ya Habari nchini Tanzania wapendekeza kufutwa kwa Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 inayochangia kwa kiwango kikubwa kubanwa kwa uhuru wa Vyombo vya Habari!! Pendekezo hili limekuja baada ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuyafungia kwa muda wa siku 14 magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kutokana na kuandika habari zenye mwelekeo wa kuchochea wananchi na Serikali yao!!