Kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa nchini Tanzania

Sauti 10:02

Wananchi nchini Tanzania waadhimisha miaka 14 ya kifo cha muasisi wa taifa hilo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki dunia tarehe 14 Octoba mwaka 1999.Katika makala ya habari rafiki wasikilizaji wa Tanzania wanaeleza kwa namna gani jamii hiyo imefanikiwa kumuenzi.